SMALL PLANET BAR

Small Planet – Sinza, Dar es Salaam

Small Planet, iliyopo katika eneo maarufu la Sinza, Dar es Salaam, ni mahali bora kwa wapenzi wa vyakula na vinywaji. Ikiwa na orodha ya vinywaji vya aina mbalimbali, sehemu hii inatoa kila kitu kuanzia Cocktail hadi vinywaji vilivyotengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Kwa kutumia viungo freshi na vya ubora wa juu, Small Planet inahakikisha unapata ubora wa kipekee wa vinywaji.

Small Planet Bar inajivunia mchanganyiko wa vyakula vya kienyeji na vya kisasa, ukizingatia ubora na viungo freshi. Menyu yao inajumuisha vyakula vya kupendeza vya ladha tofauti, Kwa kuhakikisha kila mgeni anapata kitu cha kufurahia na chenye ubora, Iwe unahitaji menu ya uhakika au nyama choma vya kuambatana na kinywaji chako, Small Planet inakuhakikishia BBQ ya uhakika.

Small Planet imeundwa kuwa mahali pa kufurahisha na kisasa.Ukianza kuingia mlangoni,Ujenzi wa mbao za asili na Mapambo yake , rangi nzuri na za kuvutia na vivutio vyenye mvuto,Kaubaridi kazuri ukipigwa na feni zilizopo ndani. Hii ni bar ya Sehemu ya nje na ni kivutio kikuu, ikiwaruhusu wageni kufurahia chakula na vinywaji vyao wakiwa chini ya nyota , Tembelea sinza leo former La Chaaz , Dar es Salaam.

Burudani na Matukio

  • Muziki wa Moja kwa Moja: Wasanii wa ndani na Madj huwatumbuiza wageni mara kwa mara, wakiongeza msisimko na burudani . Iwe ni midundo tulivu a.k.a RnB,Amapiano,HipHop,Zilipendwa,Kwaito,Bongo Flavour n.k.
  • Matukio Maalum: Usiku wa mandhari tofauti na huduma za kukodisha kwa matukio ya kibinafsi hufanya Small Planet kuwa mahali sahihi kwa sherehe za siku ya kuzaliwa, maadhimisho, au mikutano ya kawaida.

Kwa Nini Utembelee Small Planet?

Iwe unataka kupumzika baada ya siku yenye shughuli nyingi, kusherehekea tukio maalum, au kufurahia tu vyakula na vinywaji bora, Small Planet ni mahali pazuri pa kufika,kwanza ni centre ya mji pia utapata Mchanganyiko wa vyakula vya ladha tofauti, vinywaji kama bia,lite,Gin,Vodka,Whisky,Wine nk, na mazingira ya kufurahisha unahakikisha unapata uzoefu wa kukumbukwa kila wakati.

Ukiwa zako Dar es salaam usiache kutembelea Small Planet upate vinywaji vya kipekee, na mandhari ya kuvutia Sinza, Dar es Salaam.

SMALL PLANET

SMALL PLANET LOCATION

If you want to read more reviews on bars in Dar Es Salaam, then CLICK HERE.

If you want to support our project, why not follow us on LinkedIn (CLICK HERE) or Facebook (CLICK HERE) – or why not both?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *